
Kocha wa Singida United Hans van Pluijm akimkabidhi jezi Kigi Makassy
FULL LIST YA WACHEZAJI WA SINGIDA UNITED 2017/2018
1.Elisha Muroiwa(Zimbabwe)
2.Twafadzwa Kutinyu (Zimbabwe) 3.Simbarashe Nhivi (Zimbabwe) 4.Wisdom Mtasa (Zimbabwe) 5.Shafik Batambuze(Uganda) 6.Dany Usengimana( Rwanda) 7.Michel Rusheshangoga(Rwanda)
WACHEZAJI WAPYA WA NDANI WALIYOSAJILIWA
1.Atupele Green (Jk Ruvu) 2.Miraj Adam (Africa Lyion) 3.Kenny Ally (Mbeya City) 4.Roland Msonjo(Mshikamano Fc) 5.Pastory Athans (Simba) 6.Deus Kaseke(Yanga) 7.Ally Mustapha (Yanga) 8.Salum Chuku (Toto Africa) 9.Kigi Makassy (Ndanda Fc).
Kwa sasa Singida United inakuwa na jumla ya wachezaji 25 itakaowatumia kwa ajili ya msimu ujao wa 2017/2018 baada ya kusajili wachezaji 7 wa kigeni, wachezaji 9 wa ndani ambao wanaungana na wachezaji 9 wengine waliyoipandisha Singida United Ligi Kuu.
SHARE








No comments:
Post a Comment