Liverpool iliibuka mshindi wa kombe la Asia awamu ya 2017 mbele ya mashabiki wengi wa timu hiyo mjini Hong Kong.
Huku kukiwa na uvumi kwamba Coutinho huenda akajiunga na Barcelona haikutarajiwa kwamba nyota huyo wa Liverpool angefunga bao la ushindi.
Mechi ilikuwa na kipindi cha kwanza cha kutumbuiza huku washambuliaji wote wa timu hizo wakishiriki. Coutinho na Salah walikuwa wakionana kwa kipindi kirefu cha mechi.
Leicester ndio ilioanza kufunga baada mchezaji Fuchs kutumia wingi ya kulia kabla ya kupiga krosi nzuri kwa Isaac Slimani ambaye alifungakwa kichwa katika dakika ya 12 kipindi cha kwanza
SHARE
No comments:
Post a Comment