Mkurugenzi wa Idara ya
Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi akiongea
katika mkutano Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni kati ya wadau wa
Habari kati ya Tanzania na China Leo Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa China Nchini Dkt. Lu
Youqing akiongea wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano kuhusu
Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni ambapo aliahidi kuendelea kutoa
ushirikiano katika masuala Mawasiliano
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi wa Idara ya
Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbasi akiteta
akiwaeleza jambo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano(Mawasiliano) Mhandisi Angelina Madete (katikati) na Naibu
Waziri Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani.
Makamu wa Waziri Mwenye Dhamana ya
masuala ya mitandao kitaifa kutoka China Ren Xianliang akiongea wakati
wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano kuhusu Njia Mpya za Mawasiliano
Mtandaoni ambapo aliahidi kuendelea kutoa ushirikiano katika masuala
Mawasiliano
Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi
Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akiongea wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano kuhusu Njia Mpya za Mawasiliano
Mtandaoni ambapo alisema kwa sasa serikali ipo katika hatua za
kutengeneza mpango wa taifa wa Usalama wa mtandao.
Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi
Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akiwa katika picha ya
pamoja na washiriki wa Mkutano wa Njia Mpya za Mawasiliano Mtandaoni
SHARE
No comments:
Post a Comment