Mchezaji wa
kimataifa wa Ghana Mubarak Wakaso amesaini mkataba wa miaka mitatu
kujiunga na klabu ya Alaves ya nchini Hispania.
Ahmed Hegazi (kulia) alipokua akiichezea Fiorentina ya Italia
Nayo klabu ya West Bromwich Albion ya nchini England, imemsajili beki wa Misri Ahmed Hegazi kwa mkopo akitokea klabu ya Al Ahly.
Hegazi alirejea nyumbani kwao Misri na kujiunga na Al Ahly mwaka 2015, baada ya kuondoka katika klabu ya Fiorentina kwa kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara.
SHARE









No comments:
Post a Comment