Mshambuliaji mpya Man United Romelu Lukaku mfungaji wa bao la ushindi katika mchezo dhidi ya Real Salt Lake
Timu ya Manchester
United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Real Salt Lake
katika mchezo wa kirafiki uliofanyika huko nchini Marekani. mabao ya
timu hiyo yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan na Romelu Lukaku huku goli la
Real Salt Lake likifungwa na Luis Silva.
Sturm Graz na West Ham United wametoshana nguvu kwa sare ya bila kufungana. Real Union wamelala kwa kufungwa 3-1na Eibar.
Athletic Bilbao nao Fenerbahce nao wametoshana nguvu kwa mchezo kumalizika kwa sare ya bila bila.
SHARE









No comments:
Post a Comment