Wanamuziki
AY na FA wamedai kiasi cha fedha bilioni 2.1 mahakama iliyoamuru Tigo
iwalipe ni hela za kawaida kwao kwa sababu wameshakamata hela kama hizo
mara nyingi
Wamesema hata wakipokea fedha hizo hutawaona wamepost kwenye mitandao ya
kijamii kama wasanii fulani wanavyofanya na kusema wao sio washamba wa
kiasi hicho
Pia wamedaisiku hizi hawapo karibu tena kama zamani kwa sababu maisha yao yamebadilika na ukaribu unabadilika pia
SHARE
No comments:
Post a Comment