Mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuph Manji anayekabiliwa na kesi ya uhujumu
uchumi ambaye alipeleka maombi ya kupata dhamana Mahakama Kuu Tanzania, ombi lake limetupwa na mahakama hiyo.
Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania
imetupilia mbali maombi ya dhamana ya Manji na kukubaliana na pingamizi
la upande wa Serikali ambapo maombi hayo yametupiliwa mbali na Jaji
Isaya baada ya kusema anakubaliana na hoja za upande wa serikali.
SHARE
No comments:
Post a Comment