Mbunge wa Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashe, akizungumza na mtoto Suzana
mwenye ulemavu wa ngozi wakati wa kuzindua ujenzi madarasa na ofisi za walimu
katika Shule ya Msingi Itilo iliyopo Wilayani Nzega mkoani Tabora wakati wa
ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika jimbo lake
Mhe Bashe akipitia taarifa ya ujenzi wa madarasa na ofisi za
Shule ya Msingi Itilo wa wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika
jimbo lake juzi.Kushoto kwake ni Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi Suzana.
Mbunge wa Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashe, akizungumza na mtoto Suzana
mwenye ulemavu wa ngozi wakati wa kuzindua ujenzi madarasa na ofisi za walimu
katika Shule ya Msingi Itilo iliyopo Wilayani Nzega mkoani Tabora wakati wa
ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika jimbo lake
Mbunge wa Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashe, akiwaa na mztoto
suzan, wakati akisaini kitabu cha wageni.
Mbunge wa Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashe,akizungumza na waendesha
Bodaboda katika Stendi ya Basi Nzega Mjini baada ya kuwatembelea Mkoani Tabora
![]() |
| Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akikabidhi msaada wa Sh. 300,000, Elias Matono mwenye ulemavu wa macho na madaftari ya Mtoto, Wilson Elias(kulia kwake), mjini Nzega mkoani Tabora |
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe(CCM), akizungumza na
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chief NTinginya wakati alipotembelea shule hiyo
kwa ajili ya kutatua changomoto za mbalimbali zinazoikabili.
Mbunge wa Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashe, akizungumza na
wanafunzi ambao walimwombea dua apate ubunge kipindi cha kampeni
alipowatembelea nyumbani kwao eneo la Ushirika Mjini juzi na kuahidi kuwasomesa
kuanzia msingi hadi sekondari kwa mahitaji yote.
Mbunge wa Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashe, akizungumza na
wananchi katika Tawi la Chadema eneo la Ushirika mjini Nzega mkoani Tabora
wakati wa ziara ya kutembelea mitaa na akizungumza na wananchi juzi.
![]() |
|
Mbunge wa Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashe, akizindua ujenzi wa
Zanati ya Kijiji cha Silimka wilayani Nzega mkoani Tabora wakati wa ziara ya
kukagua miradi ya maendeleo katika jimbo lake juzi.
|
Mbunge wa Nzega
Mjini, Mhe. Hussein Bashe, akizindua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi
Itilo wilayani Nzega mkoani Tabora wakati wa ziara ya kukagua miradi ya
maendeleo katika jimbo lake
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akiwa amembeba mtoto Suzana mwenye
ulemavu wakati wa kuzindua ujenzi madarasa na ofisi za walimu katika Shule ya
Msingi Itilo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora wakati wa ziara ya
kukagua miradi ya maendeleo katika jimbo lake
SHARE
























No comments:
Post a Comment