Muonekano
wa Juu na Pembeni mwa bararaba ya Juu (Tazara Flyover) ambao ujenzi wake
umekamiklika kwa asilimia 53 hadi kufikia leo Jumapili Agosti 20, 2017 na
unatarajiwa kukamilika mapema mwezi Oktoba, 2018, hii ni kwa mujibu wa
wakandarasi wa mradi huo wa kwanza wa kisasa hapa nchini.
Rais
wa Shirika la Maendeleo Kimataifa la
Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka akimuelezea jambo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) alipotembelea kukagua maendeleo
ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la
Tazara Jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akipanda juu ya
Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la Tazara
Jijini Dar es Salaam wakati wa Ziara ya Rais wa Shirika la Maendeleo Kimataifa
la Japan (JICA Dkt. Shinichi Kitaoka aliyewasili nchini leo Agosti 20, 2017.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa. Makame Mbarawa akimuelezea jambo
Rais wa Shirika la Maendeleo Kimataifa
la Japan (JICA) Dkt. Shinichi Kitaoka (kushoto) alipotembelea kukagua maendeleo
ujenzi wa Barabara ya Juu (Tazara Flyover) inayoendelea kujengwa katika eneo la
Tazara Jijini Dar es Salaam
SHARE














No comments:
Post a Comment