TRA

TRA

Wednesday, August 2, 2017

Daraja la aina yake duniani

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Daraja lililotundikwa lenye mita 500 linalokisiwa kuwa refu zaidi duniani limefunguliwa katika mji wa Zermatt nchini Uswisi.

Daraja hilo lenye urefu wa mita 494 kwa jina Europabrucke limetundikwa mita 85 juu. 

Bodi za utalii ya Zermatt inasema kuwa ndio daraja refu zaidi duniani ijapokuwa daraja la mita 405 mjini Reutte Austria limetundikwa mita 110 juu kutoka ardhini.

Daraja lililotundikwa lenye mita 500 linalokisiwa kuwa refu zaidi duniani limefunguliwa katika mji wa Zermatt nchini Uswisi.

Daraja hilo linachukua mahala pa daraja jingine ambalo lilikuwa limeharibiwa na mwamba. 

Daraja hilo jipya ambalo ambalo lina uzito wa tani nane limewekwa kifaa cha ambacho linalizuia kuyumbayumba ,kulingana na bodi ya watalii ya Zermatt.

Daraja hilo lipo kati ya Zermatt na Grachen kusini mwa Switzerland.

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger