Bunge la Seneti
nchini Marekani limepiga kura ya kuthibitishwa Christopher Wray
kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani (FBI).
Christopher Wray ni mmoja wa maafisa wa ngazi za juu wa mahakama ya nchi hiyo ambaye alifanya kazi chini ya Rais George Bush.
Wray amepata uungwaji mkono kutoka vyama vyote kwenye Kamati ya Sheria ya Bunge la Seneti wakati wa kikao cha kuthibitishwa kilichoketi mwezi uliopita ambapo alionyesha kuitii Katiba.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment