Marehemu
Chipaka aliwahi kuwa Katibu wa ANC wakati wa kudai uhuru enzi za Baba
wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, pia aliwahi kuchukua fomu ya kugombea
urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015 na jina lake kukatwa
na Tume ya Uchaguzi kwa kushindwa kutimiza vigezo vilivyowekwa na tume
hiyo.
Tutaendelea kuwajulisha taarifa zaidi kuhusu msiba huo.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
SHARE
No comments:
Post a Comment