Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi
akimkabidhi leseni ya usajili wa Gazeti la HabariLeo mwakilishi wa gazeti hilo mhariri
wa gazeti hilo Bw. Amir Mhando leo Agosti 30, 2017, Jijini Dar es Salaam.
Leseni hiyo imetolewa kufuatia kuanza kwa matumizi ya sheria mpya ya Huduma za
Habari ya mwaka 2016.
Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi
akimkabidhi leseni ya usajili wa Gazeti la Daily News mwakilishi wa gazeti hilo
Bi. Pudenciana Temba. Idara ya Habari imetoa imetoa leseni nne kwa ambapo
leseni namba moja imetolewa kwa Jarida la Nchi Yetu linalotolewa na Idara hiyo,
namba mbili imetolewa kwa HabariLeo, namba tatu Dailynews na nne imetolewa kwa
Spotileo.Katikati ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Usajili
Bw. Patrick Kipangula.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya
Serikali (TSN) inayomiliki magazeti ya Daily News, HabariLeo na SpotiLeo Dkt.
Jim Yonaz akisisitiza jambo mara baada ya kumalizika kwa zoezi la kutolewa kwa
Leseni za magazeti ya Kampuni yake kumalizika
Picha ya pamoja. (PICHA NA IDARA YA HABARI MAELEZO)
SHARE
No comments:
Post a Comment