MTANZANIA
Alphonce Felix Simbu amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mbio za
dunia za IAAF zinazoendelea kufanyika nchini Uingereza katika Jiji la
London.
Simbu ameshika nafasi ya tatu nyuma ya Mkenya aliyeshika nafasi ya kwanza akifuatiw ana Muethiopia aliyeshika nafasi ya pili.
Akitumia
masaa 2 na dakika 10 Simbu aliweza kushiuka nafasi ya tatu baada ya
kumpita Mkenya mwingine aliyejua kushika nafasi ya tano.
Hii inakuwa ni kwa mara ya kwanza kwa Simbu kushika nafasi ya tatu baaada ya mwaka jana katika mbio ndefu za London Marathonaliweza kushika nafasi ya tano.
SHARE








No comments:
Post a Comment