Rais
wa Rwanda Paul Kagame ametangazwa mshindi wa Urais wa nchi hiyo baada
ya kushinda katika uchaguzi Mkuu uliofanyika August 4, 2017 na
kumrudisha madarakani kwa muhula wa tatu.
Baada ya ushindi huo Rais wa Tanzania John Magufuli ametumia ukurasa wake twitter kumtumia salamu za pongeni Rais Kagame.
”Nakupongeza Mhe. Paul Kagame kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Rwanda kwa
kipindi kingine. Kwa niaba ya Watanzania wote nakutakia mafanikio mema.
"Tutaendeleza na kukuza zaidi ushirikiano na uhusiano kati ya nchi zetu
hususani biashara na maisha ya wananchi wetu. Hongera Wanyarwanda. "
SHARE









No comments:
Post a Comment