
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa
ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akikagua ujenzi wa ofisi hiyo
unaoendelea mkoani Dodoma. Wa kwanza kulia ni Mhandisi John Ainainyi
Njau kutoka Benki ya Dunia nchini Tanzania.

Mkandarasi wa majengo kutoka
kampuni ya Hainan International Ltd inayojenga Ofisi ya Taifa ya Takwimu
mkoani Dodoma akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya
Takwimu Dkt. Albina chuwa wakati alipotembelea kukagua ujenzi wa ofisi
hiyo.

Baadhi ya Wakurugenzi na Maafisa
waandamizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) walioambatana na
Mkurugenzi Mkuu wa ofisi hiyo Dkt. Albina Chuwa (hayupo pichani)
kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya ofisi hiyo
mkoani Dodoma. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).

Muonekano wa jengo jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma.

Muonekano wa jengo jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma.
SHARE
No comments:
Post a Comment