Kamanda Ollom ameeleza kuwa tukio hilo limetokea August 26, 2017 majira ya saa 6:20 mchana ambapo mke wa Askari huyo alifika kituoni kutoa taarifa kuwa mumewe hakurudi nyumbani tangu alivyoondoka.
"Siku ya August 26, 2017 majira ya Saa 6:20 mke wa Koplo Mussa alifika Kituo cha Polisi kutoa taarifa kwamba mumewe aliondoka tangu asubuhi akitokea nyumbani kwake Kambi ya Polisi na hakuweza kurudi…” alisema.
SHARE
No comments:
Post a Comment