Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza
na uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo pamoja na
Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na Uongozi wa Baraza
la Sanaa na Sensa ya Filamu katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo
Agosti 7, 2017 ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Kikao hicho kimejadili mambo mbali
mbali ya kiutendaji. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Watendaji waliokutana na Mhe. Rais wa Zanzibar.
SHARE
No comments:
Post a Comment