JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA)
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ndugu Andrew W. Massawe anasikitika
kutangaza kifo cha mtumishi Digna Baltazar Mallya (Afisa Usajili)
kilichotokea ghafla Jumamosi 26/08/2017.
Marehemu atasafirishwa kwa mazishi mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo, Jumatano 30/08/2017
NIDA tunatoa pole za dhati kwa
muwe wa marehemu, watoto, wazazi, ndugu na marafiki wote walioguswa na
msiba huu mzito. Kabla ya umauti marehemu alikuwa akifanya kazi ofisi ya
Usajili Wilaya ya Kinondoni. Tutakukumbuka kwa ucheshi wako,
uchangamfu na moyo wa kujituma. Mwenyezi Mungu akupokee na akupumzishe
kwa amani. AMINA
SHARE
No comments:
Post a Comment