Mkuu wa Divisheni ya Huduma za
Urekebishaji, Naibu Kamishna wa Magereza, Tusekile Mwaisabila
akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza mara baada ya
kuwasili katika ziara Maalum ya kukagua maboresho mbalimbali katika
Kiwanda cha Viatu cha Gereza Kuu Karanga Moshi leo Agosti 29, 2017(wa
kwanza kulia) ni Mkuu wa Gereza Kuu Karanga – Moshi, Kamishna Msaidizi
wa Magereza, Leonard Mushi.
Mkuu wa Divisheni ya Huduma za
Urekebishaji, Naibu Kamishna wa Magereza, Tusekile Mwaisabila akiongea
na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza Mkoani Kilimanjaro katika
Kiwanda cha viatu cha Karanga Moshi(kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa
Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Hassan Mkwiche.
Naibu Kamishna wa Magereza,
Tusekile Mwaisabila akiangalia Buti la Jeshi lililotengenezwa katika
Kiwanda cha Viatu Karanga Moshi.
Viatu aina ya Buti za Jeshi zinazotengenezwa katika Kiwanda cha Viatu Karanga Moshi.
Naibu Kamishna wa Magereza,
Tusekile Mwaisabila akikagua eneo la mradi wa Ubia kati ya Jeshi la
Magereza na Mfuko wa hifadhi ya jamii wa PPF ambapo katika eneo hilo
kutajengwa mradi wa Kiwanda kipya cha viatu na bidhaa za ngozi katika
eneo hilo.
. Mkuu wa Divisheni ya Huduma za
Urekebishaji, Naibu Kamishna wa Magereza, Tusekile Mwaisabila akifyatua
tofali zitakazotumika kujengea nyumba za askari katika Gereza Kuu
Karanga, Moshi kama inavyoonekana katika picha
Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza
SHARE
No comments:
Post a Comment