Bodi ya
Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza mwongozo na vigezo vya
utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 na imeanza kupokea
maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi tarehe 4 Septemba,
2017.Waombaji wote wa mikopo a wanasisitizwa kusoma mwongozo wa
utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 pamoja na
taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya
mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tzKusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka wa masomo 2017/2018 bofya ===> HAPA
Kusoma hatua za kufuata kufanya maombi ya mkopo na malipo bofya ===> HAPA
Hapo chini ni sifa za msingi za mwombaji wa mkopo;
SHARE
No comments:
Post a Comment