Mkurugenzi Mtendaji wa
Multichoice Tanzania Maharage Chande na Balozi wa Multchoice Nancy
Sumari wakikabidhi zawadi kwa washindi baada ya kushindwa katika bahati
nasibu wakati wakitangaza punguzo kubwa la bei kwa vifurushi vyote vya
DStv bei zitakazoanza kutumika rasmi Septemba mosi 2017.

Multichoice Tanzania Maharage Chande akitangaza punguzo kubwa la bei kwa
vifurushi vyote vya DStv bei zitakazoanza kutumika rasmi Septemba mosi
2017.
Balozi wa Multchoice Tanzania Nancy Sumari akizungumza mara baada ya kutagazwa kwa punguzo kubwa la vufurushi wa DSTV leo.
Punguzo linavyoonekana katika kipeperushi
Meneja Masoko wa Multchoice
Tanzania Bw. Alfa Mria akizungumza katika hafla hiyo ya kutangaza
punguzo kubwa katika vifurushi vyote vya DSTV.
Meneja Mawasiliano wa Multchoice
Tanzania Bw. Jonson Mshana akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha
Mkurugezi Bw. Maharage Chande kwa ajili ya kutangaza punguzo la
vifurushi hivyo.
SHARE
No comments:
Post a Comment