
Wanafunzi hao wa kidato cha sita
wamefanya vurugu hizo usiku baada ya kutoroka shuleni na kuvamia kwenye
sherehe ya harusi ambapo walitaka sherehe hiyo iendelee hadi muda
watakao amua wao.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa
Polisi mkoani humo, SACP Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kutokea kwa
tukio hilo ambapo ameeleza kuwa wanafunzi hao 106 wanashikiliwa na jeshi
la polisi kuhusiana na tukio hilo.
Tazama tukio hilo hapo chini
SHARE
No comments:
Post a Comment