Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo
akizungumza wakati wa kumpongeza Mshindi wa tatu wa Mbio za Dunia za
London Marathon mwaka huu, Felix Simbu pamoja na wenzake watatu ambao
walienda katika mashindano ya Dunia za London Marathon nchini Uingereza.
Mwanariadha,
Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio
nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akizungumza wakati wa Jeshi la
kujenga taifa limewapongeza washindi hao walipowasili hapa nchini tangu
walipotoka kwenye mashindano ya Riadha ya Dunia yaliyofanyika nchini
Uingereza. Amesema kuwa "Ushindi huu si wangu peke yangu bali ni wa wetu
sote kutokana tulikuwa na umoja."Huu ni ushindi wa wote, hivyo umoja
wetu utazidi kujitahidi kufanya vizuri zaidi hapo baadae,".
Katibu Baraza la Michezo Tanzania(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza
wakati wa kuwapongeza washiriki wa mashindano ya Riadha ya Dunia ambapo
Tanzania ilikuwa na wanariadha wanne na Mshindi wa tatu wa Mbio hizo za
Dunia za London Marathon kutoka Tanzania ni Alfonce Simbu.
Mwakilishi
wa Multchoice, akizungumza katika hafla fupi iliyoandali na Jeshi la
Kujenga Taifa akiwapongeza washiriki wa Mashindano hapo ikiwa mshindi
watatu wa mashindano ya riadha ya dunia aliibuka kidedea
Alfonce Simbu.
Mwanariadha,
Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio
nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akiwa na amesimama wakati wa
kutambulishwa mbele ya waalikwa waliohudhuria hafla ya kuwapongeza mara
baada ya kurejea hapa nchini.
Mwanariadha,
Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio
nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa
Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo wakati wa hafla
fupi ya kuwapongeza walioshiriki katika mashindano hayo ya Riadha ya
Dunia.
Mwanariadha,
Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio
nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akipokea tuzo kutoka kwa Mkuu wa
Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo leo wakati wa
kuwapongeza washiriki wa mashindano hayo.
Wanariadha wakipokea zawadi mbalimbali kutoka kwa Jeshi la Kujenga Taifa.
Mwanariadha,
Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya shaba katika Mashindano ya Mbio
nchini Uingereza kwa mwaka huu 2017 akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu
wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo jijini Dar
es Salaam leo wakati wa kuwapongeza kushiriki mashindano ya Rianda ya
Dunia.
SHARE
No comments:
Post a Comment