Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Bi. Ana Teressa .jana
Agosti 27/2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Havana ,baada ya
kumaliza ziara ya kikazi Nchini Cuba. Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu
Mama Mary Majaliwa
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
SHARE
No comments:
Post a Comment