Timu ya
Barcelona FC hatimaye wamelipa kisasi cha magoli 3-0 dhidi ya Mabingwa
watetezi wa Ligi Kuu ya Italia ,Juventus ikumbukwe msimu uliopita
Juventus waliwatoa vijana wa Now Camp kwa kuwatandika magoli 3-0 na
mechi ya pili ziliweza kutosha nguvu ya bila kufunga na kibibi kizee hao
walitinga Fainali ya Ligi ya Mabingwa na kuangukia pua baada ya kufunga
4-0 toka kwa Real Madrid
SHARE
No comments:
Post a Comment