Matajiri
wa Ufaransa timu ya Paris Saint Germain waitwanga Celtic jumla ya
magoli 5-0 mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya huku ikitajwa kuwa na
safu bora ya ushambuliaji ikiongozwa na Mchezaji ghali Dunia Neymar
Junior Santos JR pamoja na Kylian Mbappe,na Edinson Cavani
Celtic: Gordon,
Simunovic, Ralston, Lustig, Tierney, Brown, Ntcham, Armstrong (Rogic
HT), Roberts (Forrest 78), Sinclair, Griffiths (Edouard 69).
Subs: De Vries, Bitton, Ajer, McGregor.
Booked: Simunovic, Ralston,
PSG:
Areola, Dani Alves, Thiago Silva, Marquinhos, Kurzawa, Verratti, Thiago
Motta, Rabiot (Draxler 61), Cavani, Neymar, Mbappe (Lo Celso 84).
Subs: Trapp, Kimpembe, Lucas Moura, Meunier, Yuri.
Goals: Neymar 19, Mbappe 34, Cavani 40 pen, 86, Lustig 84 og
Booked: Neymar
Referee: Daniele Orsato (Italy)
No comments:
Post a Comment