Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa
ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza wakati wa kikao cha
maandalizi ya uzinduzi wa matokeo ya Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji
na Matumizi ya Huduma za Kifedha nchini (FINSCOPE). Uzinduzi huo
unatarajia kufanyika tarehe 28 Septemba, 2017 jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji kutoka Mfuko
wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FSDT) Sosthenes Kewe (wa tatu
kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha maandalizi ya uzinduzi wa
matokeo ya Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji na Matumizi ya Huduma za
Kifedha nchini (FINSCOPE). Uzinduzi huo unatarajia kufanyika tarehe 28
Septemba, 2017 jijini Dar es Salaam.
Mtafiti kutoka Mfuko wa Kuendeleza
Sekta ya Fedha Tanzania (FSDT) Elvis Mushi (wa tatu kulia) akitoa
ufafanuzi kuhusu Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji na Matumizi ya Huduma
za Kifedha nchini (FINSCOPE) wakati wa kikao cha maandalizi ya uzinduzi
wa utafiti huo unaotarajia kufanyika tarehe 28 Septemba, 2017 jijini
Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO
SHARE
No comments:
Post a Comment