Waziri wa mambo ya
nje wa Marekani Rex Tillerson amesema Washington inathamini iwapo ifunge
ubalozi wake nchini Cuba, baada ya kutokea mlolongo wa mashambulizi ya
kelele kwa wafanyakazi wake.
- Cuba na Matumaini Mapya
- Trump atishia kufuta sera za Obama kuhusu Cuba
- Trump kufufua vikwazo dhidi ya Cuba
Cuba imekana kuhusika na swala hilo huku uchunguzi zaidi ukiendelea .kujua chanzo cha watu hao kukumbwa na matatizo hayo ya kiafya wanayoyauzungumzia.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment