TRA

TRA

Saturday, September 9, 2017

Msuva kuchezea Ligi Kuu Morocco

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

hqdefault
Winga wa zamani wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara,Simon Msuva kwa mara ya kwanza ataichezea timu ya Mpya kwenye Ligi Kuu ya Morocco,Maarufu kama ‘Botola’
Pazia La Ligi Kuu ya Morocco lilifunguliwa jana kwa mechi mbili zilichezwa hivyo Msuva na timu yake ya Difaa El Jadid watashuka kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Ben Ahmed El Abdi Mjini El Jadida kucheza na Chabab Atlas Khenifra.
Msuva ambaye ni Mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Tanzania msimu wa 2017-18 alijiunga na Wamorocco hao akitokea klabu ya Yanga na tayari amecheza mechi 11 akiwa na Difaa El Jadida huku akiwa amefunga jumla ya magoli 9 kwenye mechi za Majaribio hivyo tunaimani atauwasha moto kwenye Ligi hiyo ngumu.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger