
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya
Bunge ya Miundombinu, Mheshimiwa Rashid Chuachua akizungumza katika
kikao cha Kamati hiyo kilichikutana kwa ajili ya kusikiliza maoni ya
wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Reli wa mwaka 2017, Kushoto ni Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha maelezo ya Muswada wa
Sheria ya Reli wa mwaka 2017 kwa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, kulia
ni Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mheshimiwa Rashid Chuachua.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Miundombinu wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada waSheria ya
Reli wa mwaka 2017 ambao umeshasomwa Bungeni kwa mara ya kwanza.
SHARE
No comments:
Post a Comment