Mwakilishi
wa Jimbo Tunguu Zanzibar Mhe, Simai Mohammed Said akizungumza na
wananchi wa Jimbo lake katika Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Pwani Wilaya
ya Kati Unguja wakati wa hafla ya kukabidhi fedha Vikundi 13 vya
Ushirika vya Wananchi wa Kae Pwani Unguja. Mchango huo umetolewa na
Mbunge na Mqwakilishi kuchangia vikundi hivyo kwa ajili ya kutunisha
mifuko ya vikundi vya vinavyojishughulisha na ujasiriamali wa
kutengeneza bidhaa na kilimo na kukupeshana, hafla hiyo imefanyika
katika Tawi la CCM Ungua Ukuu Kae Pwani.
Vikundi
vilivyokabidhiwa fedha hizo ni Tushikamane,Hatutaki Shari, Nia
Njema,Aso Mtu Ana Mungu,Siri Moyoni, Tuwe Nao,Pita na Zako,Hatutaki
Kero,Hapa Kazi Tu, Mkorofi Sio Mwezetu,Hawavumi, Imani Moja na Wajibu
Wetu.
Baadhi wa Viongozi wa Vikundi vya Ushirika katika Shehia za Kae Pwani Unguja Ukuu Wilaya ya Kati Unguja wakati wa hafla hiyo.
Sheha
wa Shehia ya Kae Pwani Ndg. Khamis Ibrahim akizungumza wakati wa hafla
hiyo ya kukabidhi fedha kwa Vikundi vya Ushirika vua Shehia hiyo
zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo hilo la Tunguu Zanzibar,
hafla hiyo imefanyika katika Tawi la CCM Unguja Ukuu Kae Pwani.
Mwakilishi
wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohamrd Said akimkabidhi fedha
Mwenyekiti wa Kikundi cha Tushikamano wakati wa hafla hizo kukabidhi
fedha hizo zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi kutunisha Mfuko wa
Kikundi Chao..
Mwakilishi
wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohamrd Said akimkabidhi fedha
Mwenyekiti wa Kikundi cha Aso Mtu Ana Mungu, wakati wa hafla hizo
kukabidhi fedha hizo zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi kutunisha
Mfuko wa Kikundi Chao.
Mwakilishi
wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohamrd Said akimkabidhi fedha
Mwenyekiti wa Kikundi cha Tuwe Nao,wakati wa hafla hizo kukabidhi fedha
hizo zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi kutunisha Mfuko wa Kikundi
Chao.
Baadhi
ya Viongozi wa Vikundi vya Ushirika wakifuatilia hafla hiyo. ya
kukabidhiwa fedha kutunisha mfuko wa vikundi vya jumla ya vikundi 13
vimekabidhiwa fedha taslim zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo
lao la Tunguu Zanzibar. Vikundi vilivyokabidhiwa fedha hizo ni
Tushikamane,Hatutaki Shari, Nia Njema,Aso Mtu Ana Mungu,Siri Moyoni,
Tuwe Nao,Pita na Zako,Hatutaki Kero,Hapa Kazi Tu, Mkorofi Sio
Mwezetu,Hawavumi, Imani Moja na Wajibu Wetu.
Mwakilishi
wa Jimbo la Tunguu Wilaya ya Kati Unguja Mkoa wa Kusini Mhe. Simai
Mohammed Said akizungumza baada ya kukabidhi fedha kwa Vikundi vya
Ushirika vya Kae Pwani Unguja Ukuu Unguja fedha hizo zimetolewa kwa
pomoja yeye na Mbunge wake kwa ajili ya Wananchi wa Jimbo lao kukuza
Mtaji wa Vikundi vyao vya ushiriki vinavyojishughulisha na kilimo cha
mboga mbogo, kuweka na kukopa na vikundi vya Ujasiriamali, hafla hiyo
imefanyika katika Tawi la CCM uNGUJA Ukuu Kae Pwani.
Baadhi
ya Viongozi wa Vikundi vya Ushirika wakifuatilia hafla hiyo. ya
kukabidhiwa fedha kutunisha mfuko wa vikundi vya jumla ya vikundi 13
vimekabidhiwa fedha taslim zilizotolewa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo
lao la Tunguu Zanzibar. Vikundi vilivyokabidhiwa fedha hizo ni
Tushikamane,Hatutaki Shari, Nia Njema,Aso Mtu Ana Mungu,Siri Moyoni,
Tuwe Nao,Pita na Zako,Hatutaki Kero,Hapa Kazi Tu, Mkorofi Sio
Mwezetu,Hawavumi, Imani Moja na Wajibu Wetu.
Mwenyekiti
wa Tawi la CCM Kae Pwani Ndg.Ali Muhidini akizungumza na kutoa nasaha
zake kwa Wananchi wa Vikundi vya Ushiriki kushikamano na kuvikuza
vikundi vya katika kujiletea maendeleo ya kipato kupitia katika vikundi
vyao.
Katibu
wa CCM Tawi la CCM Kae Pwani Ndg. Daruweshi Ali akizungumza wakati wa
hafla hiyo ya kukabidhi fedha Vikundi 13 vya Ushirika katika Shehia ya
Kae Pwani.
Mwakilishi
wa Jimbo la Tunguu Mhe. Simai Mohammed Said akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi wa CCM Tawi la Kae Pwani na Viongozi wa Vikundi vya
Ushirika vya Shehia hizo mbili za Kae Pwani.
Mwakilishi
wa Jimbo la Tunguu Mhe. Simai Mohammed Said akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi wa CCM Tawi la Kae Pwani na Viongozi wa Vikundi vya
Ushirika vya Shehia hizo mbili za Kae Pwani
Mwakilishi
wa Jimbo la Tunguu Mhe. Simai Mohammed Said akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi wa CCM Tawi la Kae Pwani na Viongozi wa Vikundi vya
Ushirika vya Shehia hizo mbili za Kae Pwani
Mwakilishi
wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akimsalimia Mtoto
Mulhat Ai Ramadhani wakati alipofanya ziara kutembelea Wananchi wa Jimbo
lake la Tunguu na kukabidhi fedha kwa vikundi 13 ili kutunisha mfuko wa
vikundi vyao, katika shehia ya Kae Pwani Unguja Ukuu Wilaya ya Kati
Unguja.
SHARE
No comments:
Post a Comment