Mawakala wa Benki ya CRDB maarufu kama Fahari Huduma Wakala mjini
Songea, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya uborosheji wa huduma kwa
wateja yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB. Pichani Ofisa wa benki hiyo,
Willy Kamwela, akifafanua jambo kuhusu mafunzo hayo.
Mawakala wa benki ya CRDB maarufu kama Fahari Huduma Wakala mjini Songea, wakiwa katika mafunzo ya uborosheji wa huduma kwa wateja yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Tom Mwaisenye, akitoa mafunzo kwa Fahari Huduma Wakala-Mjini Songea kuhusu namna bora ya uendeshaji na usimamizi wa biashara ya Uwakala wa Benki ya CRDB.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Hemed Kiluvia, akitoa mafunzo kwa Mawakala wa Fahari Huduma mjini Songea kuhusu namna bora ya kuzingatia taratibu za Uwakala.
Mawakala wakiwa katika majadiliano na maofisa wa Benki ya CRDB.

Meneja wa Benki ya CRDB, tawi la Mbinga, Bi. Efronsina Mwanja akifungua semina ya kuwajengea uwezo Mawakala wa Benki ya CRDB katika kutoa Huduma kwa Wateja.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela, akitoa mfunzo kwa Mawakala wa Benki hiyo kuhusu uboreshaji Huduma kwa Wateja iliyofanyika wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
Baadhi ya Mawakala wa Benki ya CRDB wilayani Mbinga wakimsikiliza Ofisa wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela (hayupo pichani), wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja.
Mawakala wa Benki ya CRDB, Mjini Mbinga wakifuatilia mafunzo ya kuboresha Huduma kwa Wateja.
Baadhi ya Mawakala wa Benki ya CRDB wilayani Mbinga wakimsikiliza Ofisa wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela, wakati wa mafunzo ya Uborosheji wa Huduma kwa Wateja yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB.
Meneja wa Benki ya CRDB, tawi la Mbinga, Bi. Efronsina Mwanja na maofisa wengine wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na Mawakala wa Benki ya CRDB mjini Songea baada ya kuhitimisha mafunzo ya siku moja.
Mawakala wa mjini Songea wakiwa katika picha ya pamoja naa maofisa wa Benki ya CRDB

SHARE
No comments:
Post a Comment