TRA

TRA

Wednesday, September 13, 2017

MWENYEKITI WA KAMATI YA MAUDHUI YA TCRA MRS VALERIE NDENEINGO AZUNGUMZA NA WAMILIKI WA RADIO NA TELEVISION ZA MTANDAONI ( ONLINE RADIO NA TELEVISION) JIJINI DAR

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


DSC01197
Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mrs Valerie Ndeneingo  akiongea na wamiliki wa Radio na Television za Mtandaoni (On line Radio and Television) kwenye Ofisi ya Mamlaka ya Mawasiliano, jijini Dar Es Salaam    tarehe 13, September 2017
Ndugu
Mwenyekitiwa Tanzania Bloggers Network(TBN)
Wamilikiwa Radio naTelevisheni za Mtandaoni (on line Radio &Televisheni),
Wadauwahabari,
Mabibi na mabwana
Awali ya yote naomba nianze kwa Kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutupa uzima na kutuwezesha kukutana kwenye mkutano huu muhimu unaozungumzia masuala ya Mawasiliano na huduma zinazotolewa n avyombo vyetu vya habari.
Vilevile naomba nichukue fursa hii kuwa shukuru kwa kuitikia wito na mchango wenu mkubwa mnaoutoa kupitia vyombo vyenu mbalimbali vya Mawasiliano kama vile online Radio, online televisheni, blogs na vinginevyo.Vyombo hivi ni matokeo ya ukuaji wa kasi wa teknolojia ya habari, nani fursa nzuri kwa wanahabari kutoa na kusambaza habari mbalimbali zinazohusu jamii inayotuzunguka.
Ni miakatakribanimitanotuiliyopita, kulikuwahakunafursahizizakupatamatangazoyatelevishenikupitiakwenyemitandao, nakamailikuwepo, uborawapichaulikuwahafifu. Lakinisasahudumahiiimeeneakwawatanzaniawengi, nahivyokuweponaumuhimuwakuisimamiahudumahiiipasavyoiliiwezekuletatijakwenyetaifanasivinginevyo.
Mchangowenukupitiahudumahizosiotuunaelimishawatumiajibalipiaunatoamwanganafursambalimbaliambazowatanzaniawanawezakuzitumiakujiimarishakiuchumi.
MamlakayaMawasiliano Tanzania (TCRA), kupitiaKamatiyakeyaMaudhuiinatambuanakuthaminisanakuwepokwafursahiiyaupashanajiwahabari. Na ni kwakuzingatiaumuhimuhuoSerikaliiliamuakuruhusuhudumakama vile online Radio, online televishenina blogsziendeleekutolewawakatimiongozonataratibustahikizikikamilishwa.
NduguWanahabari,
Mkutanowetuwaleo, umelengakuzungumzianamna bora yaupashanajiwahabarinautangazajiwamatukiombalimbaliyanayotokea ,(current affairs)kupitia “vyombovyahabarimtandaoni” (On line media).
NduguWanahabari,
Kama mnavyofahamu, TCRA, pamojanamambomengine, imepewadhamanayakisheriakusimamiamaudhuikatikavyombovyaUtangazajina vilevyaki-elekroniki.Jukumuhili, linaifanyaTCRAkuhakikishakuwainakuwakaribunawatoahudumanawatumiajiwavyombohivinakujiridhishakuwavyombohivivinatumikakwanamna bora iliyokusudiwakatikajamii.NiendeleekusematukuwaTCRAinatambuaumuhimuwavyombovyahabarikupitiamitandao (online media) ikiwanipamojanamitandaoyakijamiikatikakuboreshamaishayawatanzanianakuletamaendeleo.
Ni kwaajilihiyo, leotumeonanivyemakukutananawadauwahabarikupitiamitandaonawengineo,ilituwezekupelekanakufikishaujumbekwawatumiajiwahudumazamitandaokwamustakabaliwanchiyetu, Amani yanchiyetunamafanikioya kila mtu, mmojammoja, nayanchikwaujumla kwamba yakomikononimwenu.
NduguWanahabari,
BaadayakutoaUtangulizihuo, nianzekwakutoamaangalizomachacheyafuatayokwawatoahudumazahabari, hususanikupitiamitandao:
Ni wajibuwetukufahamukuwa, sikilahabaritunayoipatakutokakwajamiiinafaakusambazwakwajamii. MaadiliyaUandishitunayotumianakuzingatiakwenyevyombovyaUtangazajiwa Radio naTelevisheniyanapaswakutumikakwenyeusambazajiwahabarikupitiamitandao. Tuelewekuwakunahabarizinginehazinatijakwajamii, nazinginehuletauchochezi.Ni wajibuwetukamawadaunawatumiajiwamitandaoyakijamiikuhakikishakuwatunahabarishahukutukizingatiakuwahabarizetuzinajengaumojawakitaifa, mshikamanonaushirikianobainayawatanzaniabilakujengahofu, kuchocheachukinauhasamabainayawatanzania.
Tungependaielewekekuwakutumiamitandaoyakijamiikutoahabarihakuondoiumuhimuwakufuatamaadiliyauandishinaupashanajiwahabari.
MaadiliyaUandishiyanatutakakujaliheshimana utu wakilamtanzania. Mambo yandaniyamtubinafsinayaki-familia, hayapaswikusambazwakwenyevyombovyahabarivyamitandaoni. Hiiinaondoaheshimana Utu wamtu. Habariyoyoteyamtubinafsihaipaswikutangazwaisipokuwa paleambapoitalazimikakwamaslahiyaumma mambo hayoyatangazwenavyombohusika.
  1. MatumiziyaLugha
Nduguwanahabari,
VyombovyaHabarikupitiamitandaovimekuwamstariwambelekupotoshalughayetuya Kiswahili, navilevilekutumialughachafuzisizonastahakwajamii. Tukumbukekuwa, habarinamatumiziyalugha chafumtandaonikwasasayanasambaakwakasikubwa, ikizingatiwakuwawatumiajiwamitandaowanaongezekasikuhadisiku. Hiini kwasababumatukiomengiyanapotokea, huwafikiawananchimapemazaidi.
Ni vyematukawamakinikatikakuchaguamanenonakuwanamatumizisahihiyalughakwaajiliyakuwahabarishawananchiwetumaana matumiziyalughachafuhayatavumiliwahatakidogo.
  1. VyanzonaUsambazajiwaHabarinaMatukio
Nduguwanahabari,
SotetunashuhudiakuwaTeknolojiayaHabarimtandaoni, imetoafursakwamtuyeyotekuwachanzo cha habari. Kwamfano;baadhiyawatumiajiwamitandaowamekuwavyanzovyaHabari, kwakutengenezahabariwenyewe, kwa kujirekodi(clips) nakusambazamitandaonihabari(clips) hizo. Wenginewamekuwawakipigapichanakurekodimatukiombalimbalinabaadayekuyasambazamitandaoni.
Kuwachanzo cha habarinakusamabazamatukionijamboambalolinatakiwalifanywekwatahadharikubwa. IkumbukwekuwamaadiliyauandishiwaHabarihayaruhusukusambazapichakamazilezitokanazonamatukioyaajalizikionyeshautupuwamtualiyepataajalinadamuambapohuletahofukwajamii.
Naombakuwakumbushanakuwatahadharishakuwanikosa la jinaikwachanzochochote cha habarinausambazajiwahabarizamatukioiwapomaudhuiyakeniyaleyasiyofaa.
Mwishokabisanaombaniwashukurusanakwakufikakwenyekikaohikinanitoewitokwakuwataka wale woteambaowanadhamanayakuhabarisha au kuwachanzo cha habarinakusambaza,kuitumiadhamanahiyohukuwakijuakuwawanawajibikakuulindausalamawanchiyetu.
Ninawashukurusanakwamuda wenu na kwa kunisikiliza

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger