Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akisoma neno pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakati wa Ibada ya
jumamosi iliyofanyika katika kanisa la Waadventisti Wasabato Magomeni
jijini Dar es salaam. Septemba 02,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amepiga magoti na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Waumini wa Kanisa
la Waadventista Wasabato Ushirika wa Magomeni Mwembechai katika Ibada
ya Jumamosi kanisani hapo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista la Wasabato Ushirika wa
Magomeni Mwembechai kabla ya kuendesha Harambee ya Ujenzi wa kanisa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amepiga magoti pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakati akiombewa na
Maaskofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni, maombezi
yaliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania Marc
Walwa Malekana(wakwanza kushoto) 02 Septemba 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na mkewe Mama Janeth Magufuli wakikabidhi mifuko 400 ya Saruji
itakayotumika katika ujenzi wa Kanisa la Wasabato Magomeni Mwembechai
jijini Dar es Salaam, leo Septemba 2, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Mama Navana Cable aliyeambatana na mtoto wake Rebecca Cable
ambao familia yao imeahidi kumalizia ujenzi wa Kanisa la Waadventista
Wasabato mara baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuendesha Harambee
ya Papo kwa papo Kanisani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Magazeti ya Serikali James Yonazi wakati
wa kuchangia Harambee katika kanisa la Wasabato Magomeni Mwembechai
jijini Dar es Salaam.02 Septemba 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Waziri mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Steven Masatu Wasira
wakati wa kuchangia Harambee katika kanisa la Wasabato Magomeni
Mwembechai jijini Dar es Salaam.02 septemba 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana
na Rushwa (TAKUKURU) Dr.Hosea wakati wa kuchangia Harambee katika kanisa
la Wasabato Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam.02 septemba 2017.
SHARE

No comments:
Post a Comment