TRA

TRA

Monday, September 4, 2017

TUVAE MAVAZI YENYE STAHA OFISI ZA UMMA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

1Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika (kushoto) akishiriki mjadala kuhusu masuala ya maadili, hususan mavazi kwa watumishi wa umma na wateja wanaofuata huduma katika taasisi za umma katika kipindi cha LEO TENA kinachotangazwa na kituo cha redio cha Clouds FM.
2Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika (kushoto) akifafanua kuhusu muonekano na aina ya mavazi yanayopaswa kuvaliwa na watumishi wa umma na wateja wanaofuata huduma katika taasisi za umma katika kipindi cha LEO TENA kinachotangazwa kituo cha redio cha Clouds FM.
3Mmoja kati ya watangazaji wa Kipindi cha “LEO TENA” kinachotangazwa na kituo cha redio cha Clouds FM, Bw. Musa Hussein (aliyesimama) akiwa katika mjadala na Afisa Utumishi Mwandamizi kutoka Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bi. Leila Mavika (kushoto).

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger