TRA

TRA

Tuesday, September 12, 2017

Utafiti:Nyama ya nguruwe ni hatari kwa afya

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo mbali mbali ya starehe na imepewa majina mengi ,kama vile mkuu wa meza, kiti moto na mengineyo mengi.

Hata hivyo utafiti wa kisayansi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine ( SUA), umebaini kuwa walaji wa nyama ya nguruwe wako katika hatari ya kupata magonjwa kama vile kifafa kutokana na mnyoo Tegu uliopo kwenye nyama ya nguruwe.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na mtafiti wa magonjwa ya binadamu na wanyama Dkt. Boa Mathias Emanuel kutoka chuo kikuu cha SUA, na kwanza amemuuliza ueneaji wa ugonjwa huo.




Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger