Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, akijiandikisha katika kitabu cha
wageni alipotembelea banda la UTT AMIS katika Mkutano wa Wahandisi
uliofanyika Septemba 7-8 mjini Dodoma. Kulia ni Ofisa Masoko Mwandamizi
wa UTT-AMIS, Martha Mashiku.
Ofisa
wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani, akitoa elimu kwa watu waliofika katika
banda la UTT AMIS huku mwananchi mwingine aliyekaa akifungua akaunti
wakati wa mkutano wa Wahandisi mjini Dodoma.
Mkurugenzi
wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud Mmbaga akifafanua jambo kwa
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, alipotembelea banda hilo wakati
wa Mkutano wa Wahandisi uliofanyika mjini Dodoma hivi karibuni.
SHARE
No comments:
Post a Comment