Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati)
akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya
Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha
Usajili, Patrick Kipangula na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha
Habari na Picha, Rodney Thadeus.

Baadhi ya Waandishi wa Habari
wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa
Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati) wakati akielezea mafanikio ya
Serikali ya awamu ya tano katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa
Rais Dkt. John Magufuli mapema Jijini Dar es Salaam.
Picha na Idara ya Habari – MAELEZO
SHARE








No comments:
Post a Comment