
Ndugu Serafine Tamba akitoa mada
kuhusu Mchakato wa Utungaji Sheria katika Semina ya Wabunge wa Kamati ya
Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje,
Ulinzi na Usalama.

Wajumbe wa Kamati tatu za Bunge
wakifuatiliana mada kuhusu mchakato wa Utungaji Sheria kutoka kwa Ndugu
Serafine Tamba katika Semina ya Wabunge iliyofanyika Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati zilizohudhuria Semina hiyo ni Kamati ya Katiba na
Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati za
Bunge zilizoshiriki Semina kuhusu Mchakato wa Utungaji Sheria
wakifuatilia mada katika Semina iliyofanyika Mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Sheria Ndogo, Mheshimiwa Andrew Chenge akitoa mchango wake Katika Semina
ya Wabunge iliyofanyika Mjini Dodoma. Wajumbe wa Kamati zilizohudhuria
Semina hiyo ni Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na
Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Balozi Adadi Rajabu akizungumza katika
Semina ya Wabunge wa Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo
na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama iliyofanyika Mjini Dodoma.Kushoto
kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria Mohamed Mchengelwa
SHARE








No comments:
Post a Comment