
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya
dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4, 2017

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli aakiendesha
kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 4,
2017
PICHA NA IKULU
SHARE








No comments:
Post a Comment