Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchini, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viana, Akira na Wende Ulemavu, Jenista Mhagama
(kushoto) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na
Muungano, January Makamba (katikati), Bungeni mjini Dodoma Februari 6,
2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Capt. George Mkuchika,
Bungeni mjini Dodoma, Februari 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Agness Marwa, Bungeni mjini Dodoma , Februari 6, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 6, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein
Bashe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 6, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Misungwi, Charles
Kitwanga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 6, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt.
Adelardus Kilangi, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma
Februari 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment