RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Mahakama ya Wilaya
Mwanakwerekwe Unguja,kushoto Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Haroun Ali Suleiman na kulia Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Makungu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akimsikiliza Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akitowa
maelezo wakati wa uzinduzi huo ya jengo jipya la mahakama ya Wilaya
Mwanakwerekwe Unguja.
BAADHI
ya Wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Jengo jipya la
Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja wakati wa uzinduzi wake
BAADHI
ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwanakwerekwe Zanzibar
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo hilo jipya baada ya
ukarabati wake mkubwa
KAIMU
Mrajis wa Mahakama Zanzibar Mhe Yessaya Kayange akitowa maelezo ya
kitaalamu ya ujenzi wa jengo hilo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe
wakati wa hafla ya ufunguzi wake.
BAADHI
ya Majaji na Mahakimu wa Mahakama za Zanzibar wakifuatilia hutuba ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa jengo hilo
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza wakati wa hafla ya
uzinduzi wa jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Zanzibar.
JAJI
Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akizungumza wakati wa
uzinduzi wa Jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Zanzibar
kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,kuhutubia hadhara hiyo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Mahakama ya Wilaya
Mwamakwerekwe Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Jaji Mkuu wa
Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakiwa katika picha ya pamoja na
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari Mwanakwerekwe Unguja
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Jaji Mkuu wa
Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakiwa katika picha ya pamoja na
Wafanyakazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe Zanzibar baada ya
uzinduzi wa jengo hilo.(Picha na Ikulu
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu,
alipowasili katika viwanja vya jengo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe
Wilaya ya Magharibi A. Unguja
SHARE
No comments:
Post a Comment