SIKU 10 tangu askari wawili wafariki dunia baada ya mmoja kumpiga mwenzake risasi bega la kushoto, kisha kujiua kwa kutumia silaha yake, askari mwingine adaiwa kumua kwa kipigo mlinzi wa hotel ya New Mwanza.
Tukio hilo lilitokea Januari Mosi, mwaka huu, majira ya saa 1:00 jioni katika kambi ya polisi Mabatini,Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza.
Habari ambazo gazeti hili imezipata zinasema kuwa huyo askari huyo ambaye alikuwa kikosi cha Farasi na Mbwa PC Joel Francis (41), akiwa nyumbani kwake alimfungia ndani Donald Mangalata (30) na kumshambulia kwa kipigo.
SHARE
No comments:
Post a Comment