TRA

TRA

Saturday, January 9, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo asifu huduma za taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

1
 Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiingia katika ukumbi wa mikutano katika kitengo cha Moyo cha Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete kilichopo katika Hospitali ya Taifa ya Mhimbili, ambapo amepongeza weledi wa huduma  za madaktari na wauguzi kutokana na huduma zinazotolewa katika Tasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
2
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu akimkaribisha Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ili aweze kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
3
Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo na kupongeza jopo la Madaktari waliomhudumia katika Hospitali ya Mhimbili.
4
Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo na kupongeza jopo la Madaktari waliomhudumia katika Hospitali ya Mhimbili kutoka kushoto ni Profesa Mohamed Janabi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo na Katibu Mkuu wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee,  Dkt. Mpoki Ulisubisya na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu
5
Profesa Mohamed Janabi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo  akimshukuru  Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo  kwa kutoa zawadi za kadi za pongezi kwa baadhi ya madaktari  na wauguzi wa Taasisi hiyo ya moyo kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu
6
Profesa Mohamed Janabi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete akiwafafanulia waandishi wa habari mambo mbalimbali waliyotaka kujua kuhusu taasisi hiyo katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu na  kushoto ni Katibu Mkuu wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, watoto na Wazee, Dkt. Mpoki Ulisubisya.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger