Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa
Studio ya Muziki na Filamu mara alipowasili katika viwanja vya Studio ya
Rahaleo Mjini Unguja wakati wa ufunguzi wa Studio ya Muziki na Filamu
leo ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka
52,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akiwaangalia wasanii
walipokuwa wakitoa burudani yao mara alipowasili katika viwanja vya
Studio ya Rahaleo Mjini Unguja wakati wa ufunguzi wa Studio ya Muziki na
Filamu leo ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia
miaka 52,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara
ya ufunguzi rasmi wa Studio ya Muziki na Filamu uliofanyika leo katika
jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za
Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Studio za Muziki na Filamu Bakari
Shomari alipotembelea Studio ya kurikodia Muziki baada ya kufanya
ufunguzi rasmi uliofanyika
leo katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni
shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
Baadhi
ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliohudhuria katika
sherehe za Ufunguzi wa Studio za Muziki na Filamu leo uliofanywa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya
Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein
na Viongozi wengine wakiwaangalia wasanii wanavyorekodi wakiwa Studio wa
Muziki wa Audio alipotembelea Studio za Kurikodia Filamu na Muziki leo
katika jengo la zamani la Studio Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra
shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
Msanii maarufu Makombora alipokuwa akisoma risala kwa niaba ya wasanii wenzake leo wakati wa ufunguzi wa Studio ya Muziki na Filamu leo,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Sheinalipokuwa akitoa hutuba yake kwa wasanii katika sherehe za ufunguzi
wa Studi ya Muziki na Filamu katika Jengo la zamani la Studio ya
Rahaleo Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,[Picha na Ikulu.]
SHARE
No comments:
Post a Comment