Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa tatu kulia) akiangalia baadhi ya mitambo inayotumika katika shughuli za uzalishaji dhahabu katika mgodi
wa Busolwa mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi huo . Wa
kwanza kulia ni mmiliki wa mgodi huo, Baraka Ezekiel.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)
akimsikiliza mmoja wa wananchi wanaozunguka mgodi wa dhahabu wa Busolwa
mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi huo ili kuangalia
shughuli mbalimbali zinazofanyika katika mgodi huo.
Baadhi ya mitambo inayotumika katika shughuli za uzalishaji dhahabu katika mgodi wa Busolwa mkoani Geita unaomilikiwa na Baraka Ezekiel.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani
(katikati) akiwa na watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na
Madini, Shirika la Umem e nchini (TANESCO), Wakala wa Ukaguzi wa Madini
Tanzania (TMAA), Wakala wa Nishati Vijijini (REA)na Shirika la Madini la
Taifa (STAMICO) wakati wa kikao chake na wakandarasi wanaosambaza umeme
vijijini (hawapo pichani) kilichofanyika mkoani Geita .
SHARE
No comments:
Post a Comment