Dokta
Abdull Maulid Abdull akimpima Miwani ya kuonea Mwananchi Chale Muumin
Fumu mkaazi wa Kijiji cha Matemwe Tunda ngaa katika matibabu yalio
fanyika skuli ya matemwe mkoa wa Kaskazini unguja.
Dokta
Rajab Mohd Haj akimkagua Jicho Mzee Muhidin M Ali Mkaazi wa Kijiji cha
Matemwe katika matibabu yaliofanyika Skuli ya Matemwe Mkoa wa
Kaskskazini Unguja.
Dokta
Fei Jie kutoka China akimpima Masikio Bi Fatma Khamis Jaku mkaazi wa
Kijiji cha Matemwe Mfuruni katika matibabu yalio fanyika Skuli ya
Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mtoto Iddi Khamis Juma akipatiwa huduma ya kupimwa uzito.
Daktari
Bingwa kutoka China Yun Lai Gao kushoto na Mwanafunzi kutoka Zanzibar
School of Health Machano M Ali kwa pamoja wakipata maelezo kutoka kwa
Mgonjwa anaesumbuliwa na maradhi ya Ganzi Haji Ali Mcha kabla ya kumtibu
huko Skuli ya Matemwe.
Dokta
Yu Lu akimgonga ngumi Mgonjwa anaesumbuliwa na maradhi ya Mgongo Mkadam
Vuai kwaajili ya kumpatia matibabu ambayo yamekua yakimsumbua kwa muda
mrefu.
Mwandishi
wa habari wa Star TV Abdalla Pandu akimuhoji Mwanchi wa Kijiji cha
Matemwe Mbupurini Chida Pili Khamis Juu ya Huduma za Afya zilizowafikia
katika kijiji chao cha Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja. Picha na
Abdalla Omar-Maelezo Zanzibar.
SHARE
No comments:
Post a Comment