Sintofahamu imeibuka bungeni baada ya Serikali kutangaza kuwa matangazo ya TBC hayatarushwa moja kwa moja Televisheni ya Taifa na badala yake yatarushwa machache na mengine yataoneshwa katika kipindi maalumu.
Hali hiyo ilizua mvutano mkali kati ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT) na Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge huku wakibishania kifungu cha kanuni ya 69 ya Bunge.
No comments:
Post a Comment