Afisa Ufuatiliaji toka Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Bw. Ambrose Manyanda akielezea mafao
mbalimbali yanayotolewa na mfuko huo kwa watumishi wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) hawapo pichani, wakati wa kikao kazi kilichofanyika
mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
: Afisa Ushirika toka Manispaa ya
Ilala Bi. Mihayo Malunde akielezea umuhimu wa Watumishi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuanzisha kikundi cha akiba na mikopo (SACCOS)
wakati wa kikao kazi kilichofanyika mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima (aliyesimama) akiwakaribisha wajumbe na
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wakati Wajumbe hao na Mwenyekiti
walipokwenda kuwashukuru na kuwapongeza watumishi wa tume hiyo kwa
kuweza kufanikisha zoezi la uchaguzi kwa mafanikio makubwa.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akiongea na watumishi wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) wakati alipokwenda kuwashukuru na kuwapongeza watumishi
wa tume hiyo kwa kuweza kufanikisha zoezi la uchaguzi kwa mafanikio
makubwa mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Bw. Ramadhan Kailima (aliyesimama) akifurahia jambo na
watumishi wa tume hiyo wakati Wajumbe na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
uchaguzi walipokwenda kuwashukuru na kuwapongeza watumishi wa tume
hiyo kwa kuweza kufanikisha zoezi la uchaguzi kwa mafanikio makubwa
Picha zote na Eliphace Marwa -Maelezo
SHARE
No comments:
Post a Comment